Mzee - uko Tanzania au wapi? Nina projekti yangu moja ambayo pengine nadhani utanisaidia. Nitakuandikia na tutazungumza vizuri na naamini kwamba tutaelewana. Ninahitaji mchoraji mbunifu katika kitabu changu kimoja ambacho kimelengwa hasa kwa ajili ya wanafunzi wa shule zote za Sekondari nchini Tanzania. Tutawasiliana
@ MMN Tanzania ndo maskani, ingawa huwa nafanya kazi sehemu tofauti. kwa sasa niko Nairobi-Kenya. Ila hakuna kitakachoharika, tutawasiliana na kupiga mzigo bila utata. Shukran..!
Mzee - uko Tanzania au wapi? Nina projekti yangu moja ambayo pengine nadhani utanisaidia. Nitakuandikia na tutazungumza vizuri na naamini kwamba tutaelewana. Ninahitaji mchoraji mbunifu katika kitabu changu kimoja ambacho kimelengwa hasa kwa ajili ya wanafunzi wa shule zote za Sekondari nchini Tanzania. Tutawasiliana
ReplyDelete@ MMN
ReplyDeleteTanzania ndo maskani, ingawa huwa nafanya kazi sehemu tofauti. kwa sasa niko Nairobi-Kenya. Ila hakuna kitakachoharika, tutawasiliana na kupiga mzigo bila utata.
Shukran..!
safi sana kaka
ReplyDelete