MTU MZIMA..!!

Mtu Mzima jiheshimu...Kwa nini uchafue hewa mahala pa kistaarabu!? (Muungwana ni Vitendo)

3 comments:

  1. Halafu umenikumbusha kuna sehemu nyingine kufanya hilo si kosa ila kucheua ni kuso kubwa sana kwa mtu mzima....kaaazi kwelikweli

    ReplyDelete
  2. kweli kabisa watu walio wengi hasa kwenye mkusanyiko wawatu huwa wanachafua hali ya hewa bila kujali matokeo

    ReplyDelete
  3. Heh...Da' Yasinta hiyo yako ni mpya kwangu daah umenipa somo jipya hapo... Nashkuru sana..!

    >>Anonymous hapo juu... huwa wanatenda bila kufikiria sijui..!!??

    ReplyDelete