GADDAFI

Je, wataweza kumzika...??

2 comments:

  1. Hayendi popote yule kwani wale wenye nia ya kumzika hawana vifaa. Vifaa anavyo Mmerikani; naye yule anatabia na sifa za kuacha janga pale aliposaidia kuzika watu.

    Angalia Somalia, Afghanistan, Iraq hata Vietnam ilichukua muda mrefu kabla haijaimarika baada ya Mjomba Sam kuipitia!

    ReplyDelete