Cartoon, Illustration, 2D & 3D Animation, Video & Film
MLEGEZO na KAZI
Eti unaenda kuomba kazi umepiga MLEGEZO... Nywele timtim, (huna mwonekano wa kikazi), na bado unalalmika eti UNABANIWA..?! Sasa hapo unabaniwa ama unajibana mwenyewe?
(MUUNGWANA NI KITENDO)
No comments:
Post a Comment