Cartoon, Illustration, 2D & 3D Animation, Video & Film
KULA BATA
Mambo ya UFUKWENI aka BEACH... Je, unapokwenda kula BATA kifamilia zingatia nidhamu ya MAVAZI? Kumbuka upo na WATOTO wako na si mwenza wako pekee! Je, ni busara kumwonesha mwanao maungo yako??
(MUUNGWANA NI KITENDO)
Sisi tunaiga vyote tu na siyo nusunusu na wakati mwingine hata kuwazidi hata hao tunaojaribu kuwaiga.
ReplyDeleteSasa unataka tuige kipi na kuacha kipi? Twaweza kweli kuila keki yetu ya utamaduni na bado tuendelea kuimiliki?
Huo ndo bado mtihani MASANGU, watu wengi hawajatambua ni kipi cha kuiga na kipi na cha kuacha..!!
Delete