
"Mimi nimeagiza Buti ya Nike we unaniletea viatu vya Adidas sivitaki" Kijana mmoja alimwambia Baba yake, "Ah Wewe unakataa Adidas mbona mimi nina buti za chupaza maji na ninadunda barabarani!" Rafiki yake alimwambia. Alibaki kuduwaa
Cartoon, Illustration, 2D & 3D Animation, Video & Film
0 Maoni/Comments:
Post a Comment