Wasifu wa FeDë
LIKE OUR PAGE
WAPENDA KATUNI
KAZI/DEALERS IN
ArtsFedë Media
-Cartoons + Illustrations
-Motion + Graphic Designing
-2D + 3D Animation
-Video & Film.
P.O.Box 79267,
Dar-es-Salaam, Tanzania.
Cell: +255 655 006545
E-mail: artsfede@yahoo.com
Deal with us for Better Quality
You are warmly welcomes..!
Translate
Search This Blog
KULA NGOMA-MUZIC
Zilizopita
Vikundi
- 2D (2)
- About FeDë (2)
- Africa (67)
- Animation (2)
- Arts (15)
- AU (3)
- Azam FC (1)
- Bajeti (2)
- BET awards (1)
- Bongo Flava (1)
- Bunge (4)
- Burundi (3)
- Bwana Hamnazo (12)
- Caricature (12)
- Cartoon Videos (1)
- CCM (1)
- Chadema (2)
- Comics (1)
- CUF (1)
- EAC (30)
- Editorial (215)
- Elimu (9)
- Exhibition (1)
- Foreighn Comic (1)
- GVT (110)
- Holidays (7)
- ICC (2)
- Illustrations (10)
- Jamii (145)
- Karume (2)
- Katiba TZ (29)
- Kenya (71)
- Kikwete (18)
- Kiraka (111)
- Kitimtim (13)
- Kombe la Dunia 2010 (14)
- Kombe la Dunia 2014 (4)
- Kubwa Lao (11)
- Lowassa (10)
- M7 (5)
- Madiba (2)
- Magufuli (15)
- Mavazi (1)
- Media (1)
- Michezo na Burudani (65)
- MPgis (2)
- MPigs (52)
- Mugabe (1)
- Museveni (1)
- Muungwana ni Vitendo (128)
- Muzik (1)
- Nyerere (6)
- Obama (1)
- Picha (5)
- Political (151)
- Raia Mwema (67)
- Rwanda (3)
- Siasa (196)
- Siri Kali (137)
- Sports (25)
- T-shirts (1)
- Tanzania (181)
- TFF (6)
- TPL (2)
- Uchaguzi-2015 (34)
- Uganda (9)
- UKAWA (21)
- Umma (104)
- Video (2)
- Vielelezo (Illustrations) (6)
- Vimbwanga (139)
- Viongozi (215)
- VOA-Swahili (8)
- wa (1)
- Wa Enzi (10)
- Wasanii (2)
- World (8)
- World Cup 2014 (4)
- X-MAS (3)
- Yanga (4)
- Zanzibar (5)
Habari Kimataifa
Blogu Jirani
- 8020fashions
- Bashir
- CelebAfrica
- Changamoto Yetu >
- Cheka na Kitime
- Dar Sketches
- Dina Marios
- DJ Choka
- DJ Fetty
- DJ Jiwe
- Dohu's Art
- Fullshangwe
- GoodMas Arts
- Haki Ngowi
- Hapa Kwetu
- Happy Katabazi
- Harakati
- Issa Michuzi
- JO'UNE
- John Mnyika
- JUMUWATA
- Kabwela
- Kanumba
- Kata FM
- Katuni Kwanza
- KATUNI Tanzania
- Kijijini Kwetu
- Kiswahili Discussons
- Kitoto
- Klaudia Wilk
- Komic first
- KomicFirst
- Kona Ya Matukio
- Kulikoni Ughaibuni>
- La PrincessWord
- LadyJayDee
- Lil Fue
- Maisha na Mafanikio
- Makavu Live
- Malicky's Cartoons
- Marafiki wa Vitabu >
- Mawasiliano Ikulu
- Mbeya Yetu
- Michuzi Jr
- Mjengwa
- Mkandamizaji
- Mobini Sarya
- Mpayukaji
- Mrisho Mpoto
- Muziki na Maisha
- Mwanakijiji
- Mwandani >
- Nakaaya
- Ndesanjo
- Ngurumo
- Nimka Lameck
- NipeHabari
- OthmanMichuzi
- PopA Kamtu
- Proud African
- RayTheGreatest
- Said Makalla
- Said Michael (Katuni)
- Samm Ent
- Shaffih Sports
- Shurufu Anasema>
- SimbaDeo
- Simon Kitururu
- Swahili Street >
- Taifa Letu >
- The Black Samurai
- TK
- Udadisi >
- Vukani
- Wanamuziki Tz
- WAVUTI (Subi)
- Zamaradi
- Zed Books >
- Zitto na Demokrasia
Vipi wewe ni mdogo wake Gado wa Kenya au??? Kama sio mbona unaiga kama sio kugandamizia michoro yake?? Nyie waTZ mko wawizi sana tutapost ili Wakenya waone nyie hamna fanya kazi til upige kwa chabo
ReplyDeleteMdau (Anonymous) hapo Juu...sijui ni nini ulichofananisha? ART(Mchoro) ama IDEA(Wazo)..?
ReplyDeleteKama ni WAZO ni langu binafsi na si la kutoka kwa Mtu mwingine....Kama ni MCHORO sikushangai ukifananisha...maana hata Binadamu pia wanafanana, na isitoshe GADO ni moja ya KIOO changu ktk Sanaa hii ya KATUNI..! Na ujue kwamba, Mtoto huwa anaanza kwa kuiga tabia za BABA, MAMA ama MLEZI wake kabla ya kuwa na tabia zake binafsi, hivyo GADO ni mmoja wa walezi wangu katika Uchoraji Katuni... Kama unafuatilia michoaro yangu tokea mwanzo hadi kufikia sasa... utagundu kuwa sina ART STYLE (Mtindo wa uchoraji) ya aina moja... inaenda ikibadilika kila kukicha.. hii ni kutokana na kusoma na kujifunza aina mbalimbali za mitindo ya uchoraji toka kwa watu tofauti. Msanii yeyote ANAYEPENDA KUJIFUNZA lazina tu atapitia katika hatua hizi kabla ya kuwa na STYLE (MTINDO) yake maalum. Hata GADO pia michoro yake ya sasa iko tofauti kabisa na aliyokuwa akichora miaka kadhaa iliyopita, ni kwa sababu naye alipitia katika mchakato kama huu.
Ahsante kwa maoni na swali zuri...!! Kama jibu halijakuridhisha tafadhali usisite kuuliza tena.
Shukran..!
mdau wa kwanza kwani GADO wa wapi??? penseli anayotumia si ileile anayotumia hata mchoraji yeyote, hakunashaka nadhani umeelewa maelezo ya FEDE, pamoja kaka..nimepita tu, najua si vita ila ni changamoto pia.
ReplyDeleteleo hii ni raisi wako,mlijitahidi sana,sasa 2015 the same actions
ReplyDeleteTuanamweshimu, tutaendelea kumweshimu daima na hatutakoma kulinda na kutetea HAKI..!!
ReplyDelete