"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

,,,?,,,

3 Maoni/Comments:

  1. Hilo dude lililozaliwa miaka 47 iliyopita litanyanyuka lini lijifunze kutembea na kujifanyia kazi zake lenyewe? Mi naona bora tu ombaomba wengine wasipewage misaada kama hilo dude, lina mikono na miguu kama ya huyo huyo aliyesimama pembeni yake, kinachomshinda? Hovyo kweli!

    ReplyDelete
  2. Ng Msanii kwa mawazo ya ktk genre yenu ya ucartoonist ni kama wote art yenu ni politricks tuu una kipaji kirefu naomba kukupa ushauri kwamba kuna zaidi themes nyingi zaidi ya siasa hapo tanzania ambazo zinahitaji jicho lenu ile tupige chini umasikini na ili utoke kivyako innovative tupa jicho lako katika issues nyinge mfano afya, rushwa, usafi, elimu, maendeleo ya wanawake na watoto jamii kiujumla.. wazee nk mambo ya kina jk na lowasa waachie waliojazana katika hilo
    guidance and protection.

    ReplyDelete