"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA
Showing posts with label Political. Show all posts
Showing posts with label Political. Show all posts

NA MSHINDI NI...

Uchaguzi Kenya #Uhuru vs #Odinga
(Cartoon for VOA-Swahili)

UCHAGUZI KENYA

Uchaguzi unaotarajiwa kuwa gumzo barani Afrika unafanyika nchini #Kenya. Watu wanasubiri kuona nani ataibuka kuwa rais wa taifa hilo. (Cartoon for VOA-Swahili)

NAZLIN UMAR

NAZLIN UMAR Mwanamke pekee na mgombea huru kwenye kinyang'anyiro cha urais nchini Kenya. (Cartoon for VOA-Swahili)

KAGAME na UPINZANI

Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Rwanda. Je, Rais Kagame katoa fursa ya upinzani kujinadi ipasavyo? (Cartoon for VOA-Swahili)

RAIA vs UHURU


Ndondi za kuwania kura nchini Kenya. Je, sheria za pambano zitafuatwa?
(Cartoon for VOA-Swahili)

UBABE WA MADARAKA

Rais #Museveni na harakati Kibweka cha VOA-Swahiliza kubadili katiba ili aendelee kutawala. Je, ni sahihi na haki? (Cartoon for VOA-Swahili)