
HILOO! Inawezekana kwamba ufisadi tunaoushuhudia miongoni mwa watawala unaanzia katika familia fulani ambazo zimegubikwa na uroho na ulafi wa baba anayekula chakula kingi zaidi kuliko kinacholiwa na familia yote kwa pamoja. Baba linazidi kunenepeana kutokana na kalori zisizohitajika, huku vitoto vikizidi kudhoofu kwa utapiamlo. Hiloo!
0 Maoni/Comments:
Post a Comment