"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

HABARI MUHIMU..!!

5 Maoni/Comments:

  1. Vipi wewe ni mdogo wake Gado wa Kenya au??? Kama sio mbona unaiga kama sio kugandamizia michoro yake?? Nyie waTZ mko wawizi sana tutapost ili Wakenya waone nyie hamna fanya kazi til upige kwa chabo

    ReplyDelete
  2. Mdau (Anonymous) hapo Juu...sijui ni nini ulichofananisha? ART(Mchoro) ama IDEA(Wazo)..?
    Kama ni WAZO ni langu binafsi na si la kutoka kwa Mtu mwingine....Kama ni MCHORO sikushangai ukifananisha...maana hata Binadamu pia wanafanana, na isitoshe GADO ni moja ya KIOO changu ktk Sanaa hii ya KATUNI..! Na ujue kwamba, Mtoto huwa anaanza kwa kuiga tabia za BABA, MAMA ama MLEZI wake kabla ya kuwa na tabia zake binafsi, hivyo GADO ni mmoja wa walezi wangu katika Uchoraji Katuni... Kama unafuatilia michoaro yangu tokea mwanzo hadi kufikia sasa... utagundu kuwa sina ART STYLE (Mtindo wa uchoraji) ya aina moja... inaenda ikibadilika kila kukicha.. hii ni kutokana na kusoma na kujifunza aina mbalimbali za mitindo ya uchoraji toka kwa watu tofauti. Msanii yeyote ANAYEPENDA KUJIFUNZA lazina tu atapitia katika hatua hizi kabla ya kuwa na STYLE (MTINDO) yake maalum. Hata GADO pia michoro yake ya sasa iko tofauti kabisa na aliyokuwa akichora miaka kadhaa iliyopita, ni kwa sababu naye alipitia katika mchakato kama huu.
    Ahsante kwa maoni na swali zuri...!! Kama jibu halijakuridhisha tafadhali usisite kuuliza tena.
    Shukran..!

    ReplyDelete
  3. mdau wa kwanza kwani GADO wa wapi??? penseli anayotumia si ileile anayotumia hata mchoraji yeyote, hakunashaka nadhani umeelewa maelezo ya FEDE, pamoja kaka..nimepita tu, najua si vita ila ni changamoto pia.

    ReplyDelete
  4. leo hii ni raisi wako,mlijitahidi sana,sasa 2015 the same actions

    ReplyDelete
  5. Tuanamweshimu, tutaendelea kumweshimu daima na hatutakoma kulinda na kutetea HAKI..!!

    ReplyDelete