"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

WALIMU WANA KAZI..!!

KIRAKA

2 Maoni/Comments:

  1. yaani nimecheka mpaka mbavu zaniuma kwa kweli walimu wana kazi. Au labda kuna umuhimu wa kuanza kufundisha kilugha madarasani maana hii ni kali sasa.

    ReplyDelete
  2. Yasinta, nami naona kuna huo umuhimu wa kuanza kufundishwa rugha za somo husika, kabla ya somo lenyewe..!!

    ReplyDelete