"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

The Evolution...

3 Maoni/Comments:

  1. Mwanzo mgumu, siyo? Hasa katika masuala ya UJAMAA!

    Labda tuchunguze zaidi kuhusu jinsi tunavyohusiana na hao ndugu zetu: wakoloni wa kale kama Wingereza, Ujerumani na wenginevyo.

    Maana yake huwezi ukiwa CCM ukaendesha kwa mafanikio siasa za ujamaa na kujitegemea wakati huku unaendelea kufurahia "msaada" kutoka nchini za mabepari hususan zile ambazo ziliyekuwa zinamkandamiza Mwafrika enzi za ukoloni.


    Suali kwenu Mabwana Fede na Bwaya(http://bwaya.blogspot.com/2011/02/katuni-husema-vingi-tazama-hii.html):


    "Je, tunapata mafunzo gani kutoka huko Zimbabwe?"


    http://news.xinhuanet.com/english2010/china/2011-02/12/c_13728225.htm

    ReplyDelete
  2. Mr Goodman...
    Nadhani si kwamba mimi au Bwaya tu, tunajifunza nini, bali Jamii nzima na Viongozi pia wanapata mafunzo gani?

    Mi binafsi Msanii nitaongea ama kukujbu kwa michoro. Kwa upande wa Maandishi na maongezi ntawaachia Waandishi na Waongeaji.

    Shukran..!

    ReplyDelete
  3. this is wonderful(a creativity)

    ReplyDelete