"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

MLEGEZO na KAZI

Eti unaenda kuomba kazi umepiga MLEGEZO... Nywele timtim, (huna mwonekano wa kikazi), na bado unalalmika eti UNABANIWA..?! Sasa hapo unabaniwa ama unajibana mwenyewe? (MUUNGWANA NI KITENDO)

0 Maoni/Comments:

Post a Comment