"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

KULA BATA

Mambo ya UFUKWENI aka BEACH... Je, unapokwenda kula BATA kifamilia zingatia nidhamu ya MAVAZI? Kumbuka upo na WATOTO wako na si mwenza wako pekee! Je, ni busara kumwonesha mwanao maungo yako?? (MUUNGWANA NI KITENDO)

2 Maoni/Comments:

  1. Sisi tunaiga vyote tu na siyo nusunusu na wakati mwingine hata kuwazidi hata hao tunaojaribu kuwaiga.

    Sasa unataka tuige kipi na kuacha kipi? Twaweza kweli kuila keki yetu ya utamaduni na bado tuendelea kuimiliki?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huo ndo bado mtihani MASANGU, watu wengi hawajatambua ni kipi cha kuiga na kipi na cha kuacha..!!

      Delete