"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

NDOTO na MAISHA

Acha kuishi kwa ndoto, ilihali umejibweteka bila sababu yoyote, AMKA kafanye kafanye kazi utimize malengo yako. (MUUNGWANA ni KITENDO)

4 Maoni/Comments:

  1. ni kweli huwezi kuzitimiza ndoto bila kuzifanyia kazi...imekaa vema hii:-)

    ReplyDelete
  2. Ni ugongwa unaowasumbua Vijana wengi hasa wa hapa kwetu TZ >>Dada Yasinta.

    ReplyDelete
  3. maskini wengi huwaza mambo mazuri, apart from that maskini hawazi umaskini anawaza utajiri

    ReplyDelete
  4. hadi huruma hakuna binadamu anaye waza shida, ken wa DS IRINGA

    ReplyDelete