"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

TAPELI...!

Kuwa mwangalifu na matapeli hawa, watakudanganya wakuuzie vyupa wakikuambia ni DHAHABU hasa sehemu za Vituo vikubwa vya magari na maeneo mengine ya mjini. Upo utapeli wa aina nyingi huu ni mmojawapo tu. Nawe Tapeli kwa nini usifanye kazi ya halali..? MUUNGWANA NI VITENDO.

0 Maoni/Comments:

Post a Comment