"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

SIMU na BARABARA..!

Ajali nyingi zinatokea, wakati mwingine si dereva tu anayesababisha, bali wavuka barabara pia. Angalia, Mtu anavuka barabara akiwa anaongea na simu au akisoma na kuandika ujumbe mfupi kwenye simu, hakumbuki kuwa kuwa yuko kwenye njia ya magari, isitoshe sehemu yenyewe haina mistari ya pundamilia inayomruhusu kuvuka. Kuwa mwangalifu barabarani. (Muungwana ni Vitendo)

0 Maoni/Comments:

Post a Comment