"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

VODA FASTA

Hii ndo hali halisi ya Walimu (Maalufu kwa jina la Voda Fasta) ambao wameenea ktk shule nyingi hasa za Serikali, hawana uwezo/ujuzi na masomo wanayoyafundisha, mwisho wa siku wanafunzi wanaambulia patupu na kuhitimu ELIMU JINA na si TAALUMA. Je, maisha bora yatapatikana kwa elimu hii?
(Muungwana ni Vitendo)

0 Maoni/Comments:

Post a Comment