"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE MIKALI SASA ZINAPATIKANA...Simu/Whatsapp # +255 655 006545...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

MFUGAJI

KIRAKA

2 Maoni/Comments:

  1. Mkia wa mbwa? Sisi Waafrika Kusini hatuwezi kushangaa. Tumekuja kususa nyama ya "VORS" kutokana na habari kwamba siyo nguruwe tu na utumbo wake unaosagwa na kuingizwa mule, bali hata maiti ya mbwa, paka na wanyama wote wale wasiyoliwa kwa kawaida yetu, WAMO!

    Mimi nitakuwa Rasta punde.

    ReplyDelete
  2. Usiogope Goodman..mladi uwe na uhakika tu nyama unayokula...!!

    ReplyDelete